Aziz Ki Akabidhiwa Tuzo ya Mfungaji bora wa Ligi Kuu msimu wa 2023/24

Kocha Gamondi Ashinda Tuzo ya Kocha Bora Ligi Kuu Bara

Kiungo Mshambuliaji wa Yanga SC Raia wa Burkinafasso Aziz Ki amekabidhiwa rasmi tuzo yake ya Mfungaji bora wa Ligi Kuu msimu wa 2023/24, tuzo ya Aziz Ki imepokelewa na Mwakilishi.
Aziz Ki ameshinda tuzo hiyo kwa kumshinda Feisal Salum wa Azam FC aliyefunga magoli 19 huku Aziz Ki akiwa na magoli 21 na assist 8 katika msimu wa Ligi Kuu 2023/24.
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *