Mchezaji Wa Yanga Aziz Ki Ameutumia Ukurasa Wake Wa Instagram Kumshukuru Mungu Na Kuushukuru Uongozi, Mashabiki Pamoja Na Wachezaji Wenzie Wa Yanga Kwa Mafanikio Aliyoyapata Katika Msimu Uliomalizika Hivi Punde
Aziz Ki Anaandika
“kila kitu kiliwezekana asante kwa wachezaji wenzangu, wafanyakazi, kamati ya rais na hasa wewe, mashabiki, wapendwa wangu, familia na pia kwa baraka za MUNGU mwema๐๐ป
kwa mara nyingine tena asante kwa uaminifu wako, msaada wako, imani yako, umenipa mengi katika msimu wote ๐ฐ๐๐ป #ksa10๐๐ปโฝ๏ธ๐