GAMONDI AWAANDALIA KIPIGO KIZITO COASTAL UNION
Kocha Mkuu wa Young Africans SC, Miguel Gamondi, amesema kuelekea mchezo wa kesho Jumamosi dhidi ya Coastal Union, amejiandaa kukutana na mpinzani mgumu, hivyo tayari ana mbinu za kushinda. Kesho…
Sports News From Tanzania
Kocha Mkuu wa Young Africans SC, Miguel Gamondi, amesema kuelekea mchezo wa kesho Jumamosi dhidi ya Coastal Union, amejiandaa kukutana na mpinzani mgumu, hivyo tayari ana mbinu za kushinda. Kesho…
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesaini Mkataba wa ukarabati wa uwanja wa uhuru uliopo jijini Dar es salaam na kampuni ya…
Kikosi cha Simba usiku wa juzi kilikuwa uwanjani visiwani Zanzibar katika michuano ya Kombe la Ligi ya Muungano na kufanikiwa kufuzu kwenye fainali ya michuano hiyo kwa kuifunga KVZ mabao…
Baada ya kutokuwa na msimu mzuri wa Ligi Kuu Tanzania Bara na kuwa imeondolewa katika mashindano ya Kombe la FA, Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ anatajwa ameahidi kukabidhi ‘fungu…
Mvua zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali hapa nchini, zimeonekana kutishia kutibua ratiba ya michezo ya Ligi Kuu Bara. Jumanne wiki hii, ilishuhudiwa mchezo baina ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga…
Timu ya Azam Fc imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la Muungano mara baada ya kupata ushindi wabao 5-2 dhidi ya timu ya KMKM SC ya visiwani Zanzibar.Mabao ya…
Hatimaye sababu ya kocha wa Simba Abdelhack Benchikha kumzuia Willy Esomba Onana kupiga penalti imefahamika. Jana usikukwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Simba ilivaana na KVZ kwenye mchezo wa nusu…
Umesikia huko @soccer_laduma wameripoti kuwa Wakala wa mchezaji wa Young Africans, Aziz Ki anayefahamika kwa jina la @zambro_sport_management_ Traore amekiri kusikia taarifa za mchezaji wake kuhusishwa kuhitajika na timu kadhaa…
Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama, amewasihi mashabiki wa timu hiyo kuendelea kuwapa moyo wachezaji licha ya kikosi chao kupitia wakati mgumu. Simba SC hivi sasa imekuwa ikipitia kipindi…
Kuna namna mbili ambazo zinaweza kuiokoa Mtibwa isishuke daraja ambazo ni kumaliza ikiwa juu ya nafasi ya 13 ambapo itabaki moja kwa moja ama kumaliza juu ya nafasi ya 15…