Nyota Man United Kukaa nje kwa Tatizo la moyo
Nyota wa klabu ya Manchester United Noussair Mazraoui anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili kutokana na tatizo la moyo . Tatizo hili linatokea pale ambapo Moyo unakuwa…
Sports News From Tanzania
Nyota wa klabu ya Manchester United Noussair Mazraoui anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili kutokana na tatizo la moyo . Tatizo hili linatokea pale ambapo Moyo unakuwa…
Hizi Hapa Timu Sita Ambazo Tayari Zimefuzu AFCON 2025 Tanzania imejiweka njia panda katika mbio za kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2025 baada ya…
Beki wa kazi ndani ya kikosi cha Simba, Che Malone ameweka wazi kuwa matokeo yaliyopita kwenye Kariakoo Dabi hayawezi kubadilika hivyo wanachofanya ni maandalizi mazuri kuelekea mchezo ujao unaotarajiwa kuchezwa…
TP Mazembe yashitakiwa FIFA kwa ‘kumteka nyara’ mshambuliaji Fily Traore raia wa Mali. Traore alishinda kesi dhidi ya TP Mazembe ambao walikuwa wanamzuia asijiunge na klabu ya Al Swehli ameishitaki…
LIVE CROWN SPORTS : MNYAMA AAPA KUIANGAMIZA YANGA JUMAMOSI/AHMED ATEMA CHECHE/YANGA KIPIMO CHA NCHI. Post Views: 22
“Nataka niwaambie watanzania, kuna vitu wanapaswa kufanya, mfano Msuva kwa upande wetu tulikuwa tunamhofia, hata kocha wetu aliulizia sana kama ameitwa, kama angekuwepo wangesaidiana na Samatta ingekuwa vizuri sana, tulipata…
Nahodha wa timu ya Taifa ya Ufaransa Kyllian Mbappe ameeleza kushtushwa kwake na taarifa zinazomhusisha na ubakaji uliotokea nchini Sweden. Mamlaka nchini Sweden zimethibitisha kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tukio…
Haya Hapa Magazeti ya Michezo Leo Tarehe 17 October 2024 Post Views: 19
Ameandika @hamisikabwesports ya kwamba “Tuwekeze kweli ili tufukie mafanikio,Nyie Endeleeni kutudharau Wachambuzi na kujifanya nyie ndio mnajua kila kitu,Eti kisa ulikuwa mchezaji wa Zamani au umeenda kusoma kozi ya Ukocha…
Aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu ya Simba kabla ya kuhamia Yanga, Haji Manara amefunguka kuwa Salim Abdallah almaarufu Try Again, ndiye aliyesababisha akaondoka Simba na baadaye kuhamia Yanga. Akifanya mahojiano…