Mafanikio Haya Morroco Ndio Yamemfanya Kocha Sven Kuchukuliwa na Waydad Casablanca
DONE DEAL | Tayari @wacofficiel imemtambulisha rasmi aliyewahi kuwa Kocha wa Simba Sven Vandenbroeck kuwa Kocha wao Mkuu. Januari 2021 Sven aliondoka Simba na kujiunga na AS FAR Rabat…