HAYA HAPA MAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMATATU OKTOBA 7,2024
HAYA HAPA MAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMATATU OKTOBA 7,2024 Post Views: 15
Sports News From Tanzania
HAYA HAPA MAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMATATU OKTOBA 7,2024 Post Views: 15
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali amesema sare ya mabao 2-2 dhidi ya Coastal Union sio matokeo waliyoyatarajia lakini lazima kuheshimu matokeo ya mpira wa miguu Ahmed…
Ameandika Mchambuzi Kelin Robson: Joshua Mutale Budo Mutale sio yule aliyekuwa Power Dyanamos msimu uliopita …. Mwamba alikuwa hatari sana (Kasi , maamuzi sahihi + utengenezaji, kiukweli performance yake imeshuka…
Wakati Belinda Paul akiwasilisha mafanikio ya Bodi ya wakurugezi ndani ya Simba msimu uliopita amesema . “Timu yetu imepata mafanikio makubwa msimu uliopita hasa baada ya kumaliza nafasi ya tatu…
“Miaka nane nyuma waandishi wa habari walikuwa wananiuliza nini malengo yako ndani ya Simba nikawa nawajibu ni kubeba ubingwa wa Afrika, wakawa wananiona huyu jamaa vipi ? Wananiona kama nina…
Kiungo wa klabu ya Juventus, Paul Pogba ambaye alifungiwa kujihusisha na soka kwa kipindi cha miaka minne amepunguziwa adhabu hiyo mpaka miezi 18 baada ya kufanikiwa kukata rufaa katika Mahakama…
Manchester City imeilaza Fulham kwa mabao 3-2 katika dimba la Etihad huku Arsenal ikiisambaratisha Southampton kwa mabao 3-1 katika dimba la Emirates kwenye michezo ya Ligi Kuu England. FT: Man…
Timu ya wanawake Klabu Simba SC, Simba Queens imefanikiwa kushinda nafasi ya tatu baada kuichakaza bila huruma magoli manne bila majibu timu ya CEASIAA katika mchezo wa kutafuta mshindi wa…
Timu ya wanawake JKT Queens imeibuka bingwa wa Mashindano ya Ngao ya Jamii baada kuifunga Yanga Princes goli moja bila majibu. Vuta nikuvute katika mchezo huo uliamliwa na JKT Queens…
JUSTINE KESSY: HIVI YULE NI CAMARA AU NANI?TUMSUBIRI MPANZU ATAKUJA KUONGEZA KITU Post Views: 22