Nahodha Stars Atoa Neno la Shukrani Kwa Rais
Kwa niaba ya wachezaji Nahodha wa timu ya Taifa Mohammed Hussein “Tshabalala” amemshukuru Rais Dkt. Samia kwa kuwezesha kupatikana kwa usafiri wa ndege kwa ajili ya mchezo dhidi ya Congo.…
Sports News From Tanzania
Kwa niaba ya wachezaji Nahodha wa timu ya Taifa Mohammed Hussein “Tshabalala” amemshukuru Rais Dkt. Samia kwa kuwezesha kupatikana kwa usafiri wa ndege kwa ajili ya mchezo dhidi ya Congo.…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetangaza utaratibu wa upangaji wa Droo ya Hatua ya Makundi ya Ligi ya Shirikisho CAF ya 2024/25. Ambao unfanyika leo 7 October, cairo…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetangaza utaratibu wa upangaji wa Droo ya Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa ya CAF ya 2024/25. Ambao unfanyika leo 7 October,…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetangaza utaratibu wa upangaji wa Droo ya Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa ya CAF ya 2024/25. Ambao unfanyika leo 7 October,…
“Cristovao Paciencia Mabululu hana furaha na anataka kuondoka Al ahly Tripoli .. Inaelezwa kwamba kuna timu moja ya Kariakoo imetuma ofa na kama watafikia kiwango ambacho anataka atajiunga na hiyo…
Beki wa Yanga, Ibrahim Bacca ameamua kufuata nyayo za aliyekuwa beki wa Barcelona, Ronald Koeman aliyewahi kufunga jumla ya mabao 250 katika kipindi chake akiwa mwanasoka. “Msimu huu nimeweka nia…
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema muda wa wiki mbili uliosalia unatosha kabisa kuwasoma na kuwaangalia wapinzani wake Simba, kabla ya kupanga mikakati kwa wachezaji wake kukabiliana nao, Oktoba…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Mo Dewji hii leo amezindua rasmi ramani ya mchoro wa kambi mpya ya Simba iliyopo Bunju jijini Dar Es Salam. Mchoro huo unaonesha…
TAJIRI MO DEWJI AWEKA WAZI MIPANGO YAKE MIKUBWA NDANI YA SIMBA/USAJILI/UWANJA WA BUNJU Post Views: 23
SALIM TRY AGAIN AMALIZA UTATA WA FEITOTO KUTUA SIMBA/ MPANZU KUJA KUZIMA MOTO WA SIMBA Post Views: 27