Haya Hapa Magazeti ya Michezo Leo Tarehe 11 October 2024
Haya Hapa Magazeti ya Michezo Leo Tarehe 11 October 2024 Post Views: 21
Sports News From Tanzania
Haya Hapa Magazeti ya Michezo Leo Tarehe 11 October 2024 Post Views: 21
Taifa Stars Vs Congo DRC DR Congo inacheza na Tanzania katika Raundi ya Awali ya Kombe la Mataifa ya Afrika mnamo Oktoba 10. Mechi hiyo itaanza saa 19:00 kwa saa…
Taifa Stars Vs Congo DRC DR Congo inacheza na Tanzania katika Raundi ya Awali ya Kombe la Mataifa ya Afrika mnamo Oktoba 10. Mechi hiyo itaanza saa 19:00 kwa saa…
Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Hemed Morocco, ameweka wazi azma yake ya kuibuka na ushindi dhidi ya DR Congo katika mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2025, utakaopigwa leo,…
Winga chipukizi wa Klabu ya Simba, Ladack Chasambi, amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo akisema kukaa kwake benchi ni kwa sababu ya kujifunza kitu kutoka kwa wakubwa zake, akiahidi siku…
Winga wa Simba Joshua Mutale, amesema amefumba macho na kuziba masikio kuhusu watu wanamponda kutokana na kiwango chake kutowaridhisha wengi akisema kuwa akili yake anaelekeza kwenye ufanisi wa kazi iliyomleta…
Valentino Mashaka aliandika historia ya kipekee baada ya kufunga hat-trick katika ushindi wa kishindo wa magoli 7-0 wa Taifa Stars U-20 dhidi ya Djibouti. Mchezo huo, uliofanyika katika harakati za…
Bodi ya klabu ya Zamalek Sc inazidi kufanya majadiliano ya kina zaidi kuhusu kumsajili beki wa zamani wa Rela Madrid na sasa Spain,Bodi ya Zamalek inaendelea kujadili kuhusu mshahara ambao…
BWANA SAMATTA AWATOA HOFU WATANZANIA “WALIOSEMA NIMEPOTEA NIMERUDI” Post Views: 17
Haya Hapa Magazeti ya Michezo Leo Tarehe 10 October 2024 Post Views: 13