Haya Hapa Magazeti ya Michezo Leo 14 October 2024
Haya Hapa Magazeti ya Michezo Leo 14 October 2024 Post Views: 22
Sports News From Tanzania
Haya Hapa Magazeti ya Michezo Leo 14 October 2024 Post Views: 22
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa presha wanayokutana nayo kati ya Azam FC tofauti na Kariakoo Derby. Amesema mechi hiyo dhidi ya…
Kazini kwa mshambuliaji wa kimataifa wa DR Congo, Jean Baleke kuna kazi. Unajua kwa nini? Ni kutokana na viwango vya Clement Mzize na Prince Dube ambao wanaonekana kufiti vilivyo katika…
Wakati Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema malengo yake ni kumaliza kinara katika Kundi A kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika watani zao, Yanga wanawaza kutoa kichapo katika…
Cedric Kaze Kumfuata NABI Kaizer Chiefs Cedric Kaze Anatarajiwa kuungana na Nabi kwa Mara nyingine tena kama Msaidizi wake Pale Kaizer chief baada ya Kocha Msaidizi Fernando Da Cruz kupe…
Aziz Ki, kiungo wa klabu ya@yangasc ya Tanzania mwenye asili ya Ivory Coast. Aziz Ki ameonyesha shukrani zake kwa mashabiki baada ya kufikisha wafuasi milioni moja kwenye mitandao ya kijamii.…
BADO kuna watu wanajiuliza kwa nini rekodi zinaonyesha Timu ya Taifa (Taifa Stars), inashinda zaidi mechi zake ugenini kuliko nyumbani? Wapo wanaojiuliza, ni kitu gani kinaifanya pia icheze vizuri zaidi…
DAR ES SALAAM: Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema anatumia muda mwingi kuwahudumia mashabiki wa timu hiyo kuliko kujali mambo yake binafsi kwani ana mapenzi…
Ronaldo ndiye Mchezaji aliyefunga goli nyingi zaidi Duniani pia anashikilia rekodi ya kufunga goli nyingi zaidi kwenye timu za taifa kwa muda wote mpaka sasa ameshaifungia timu ya taifa ya…
Mchambuzi wa Soka Farhan Kihamu @jr_farhanjr anasema kuelekea mechi ya tarehe 19 Simba Vs Yanga kama ikatokea Yanga ikamfunga Simba haitokuwa story lakini kama Simba ikamfunga Yanga itakuwa Story .…