Dodoma Jiji FC Yakataa Kuwa Ngazi ya Ubingwa Kwa Yanga
Uongozi wa Dodoma Jiji FC umeweka wazi kuwa wanahitaji alama tatu muhimu dhidi ya Young Africans ambao watacheza nao kesho Jumamosi (Mei 13), kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini…
Sports News From Tanzania
Uongozi wa Dodoma Jiji FC umeweka wazi kuwa wanahitaji alama tatu muhimu dhidi ya Young Africans ambao watacheza nao kesho Jumamosi (Mei 13), kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini…
Sven Vandenbroeck ahead of the game against Mamelodi Sundowns today: “I have been here just for a week but I see the readiness of the players and myself too. Our…
MOHAMED HUSSEIN TRANSFER UPDATE – Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Simba, MO Hussein anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free…
KICHAPO Cha mabao 3-0 ilichokipata Ruvu Shooting kutoka kwa Simba usiku wa leo kimeifanya timu hiyo kushuka daraja hadi Championship kimahesabu. Katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa Azam Complex, mabao…
JUST IN: SIMBA itafanya maboresho kwa kumuondoa kocha wa viungo, Kelvin Mandla kutokea Afrika Kusini kwa kinachoelezwa ameshindwa kuendana na kasi wanyoitaka katika eneo lake na inaelezwa huenda akarudishwa Adel…
MPE maua yake, ndio msemo maarufu mtaani ukimaanisha mtu apewe sifa zake akiwa hai, na ndicho kinachotokea kwa kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi kwa kazi anayoifanya ya kutengeneza mastaa ndani…
Kipa namba moja wa Klabu ya Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Aishi Salum Manula amesema kuwa mshahara wake wa kwanza baada ya kuajiriwa na Azam FC…
BEKI wa kati mkongwe wa Simba raia wa Simba, Joash Onyango, ameona isiwe shida, haraka ameandika barua kwa uongozi akiomba kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Mkenya huyo ni kati ya…
Dakika 90 Kugusa mpira x 82 Jumla ya pasi 68 (sahihi 58) Kiwango cha kukamilika kwa pasi 85% Pasi muhimu 2 mipira mirefu 6 (sahihi 3) Majaribio ya chenga 2…
Mlinda mlango wa Simba Ally Salim akikabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba kwa mwezi Aprili mwaka huu, inayoambatana na fedha taslimu Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini,…