Pamoja na Kupigwa Zengwe Simba Hivi Ndivyo John Bocco Alivyoendelea Kupigilia Msumari Rekodi yake ya Magoli Ligi Kuu
Katika mchezo wa juzi dhidi ya Kagera Sugar, Nahonda wa Simba John Bocco aliingia dakika ya 80 na kufunga goli la mwisho kwa timu yake katika dakika ya 90 katika…