Kikosi cha Yanga vs Namungo Leo Tarehe 8 March 2024
Kikosi cha Yanga vs Namungo Leo Tarehe 8 March 2024 Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wanashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa kuwakabili wauaji wa Kusini, Timu ya…
Sports News From Tanzania
Kikosi cha Yanga vs Namungo Leo Tarehe 8 March 2024 Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wanashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa kuwakabili wauaji wa Kusini, Timu ya…
Prince Dube amesema kuna viongozi ndani ya Azam FC timu ikifungwa wanafurahia. “Kwenye viongozi pia wako kwenye timu, wako Azam, lakini mioyo yao iko kwenye timu zingine wanazozisapoti, hizo timu…
M semaji wa Klabu ya Azam, Hasheem Ibwe amesema kuwa licha ya kutoa sare kwenye mechi za hivi karibuni, kikosi chao kipo vizuri na bado wanayo matumaini makubwa kwenye mbio…
Timu ya soka ya Azam FC imeendelea kudondosha alama baada ya kukubali kutoa sare ya bao 1-1 dhidi ya Coastal Union ya Tanga katika Dimba la Azam Complex Chamazi Dar…
Michuani ya AFCON iliyomalizika mapema mwezi huu imekuwa na mchango mkubwa kwa baadhi ya timu kupanda katika viwango vya FIFA kutokana na ubora wa timu hizo kwenye mashindano hayo. Nigeria…
Siku chache baada ya kufanikiwa kufuzu Hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, #Simba imejikuta ikipoteza furaha hiyo kwa kukubali kichapo cha magoli 2-1 dhidi ya #TanzaniaPrisons katika…
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sheria na Wananchama wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Eliud Mvela, amesema kuwa, hakuna anayeufahamu mkataba wa mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube na klabu yake hiyo.…
Bao pekee la Ibrahim Abdallah dakika ya 31 limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku wa jana…
Bao la beki Mkenya, Joash Onyango dakika ya 20 limeipa Ihefu SC ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC jana Jumanne Uwanja wa LITI…
Samuel Eto’o anaamini nafasi pekee ya maendeleo ya mpira wa miguu barani Afrika ni kipindi hiki ambacho Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Duniani FIFA ni Gianni Infantino “Tumepata…