Vita ya Wafungaji Bora Leo Kwa Mkapa, Fei toto na Aziz K Hapatoshi
Viungo Washika Mechi ya Azam na Yanga Leo, Vita ya Wafungaji Bora Makali ya viungo katika kutengeneza nafasi na kufunga mabao yanategemewa kwa kiasi kikubwa kuamua mchezo wa Ligi Kuu…