Clatous Chama Atupia, Kennedy Musonda Atoa Assist Zambia
Chama na Musonda Kiungo wa Simba Sc, Clatous Chama amefunga bao moja huku Kennedy Musonda wa Yanga akitoa ‘assist’ wakati Chipolopolo wakipoteza kwa penalti 6-5 dhidi ya Zimbabwe baada ya…
Sports News From Tanzania
Chama na Musonda Kiungo wa Simba Sc, Clatous Chama amefunga bao moja huku Kennedy Musonda wa Yanga akitoa ‘assist’ wakati Chipolopolo wakipoteza kwa penalti 6-5 dhidi ya Zimbabwe baada ya…
On this update we provide you the Top Assists Providers list in The NBC Premier League 2023 / 24 | Ligi Kuu Bara a league which features some of the…
Fiston Mayele Taarifa zinadai kuwa nyota wa Pyramid, Fiston Kalala Mayele anaipa nafasi kubwa klabu yake ya zamani ya Yanga SC endapo atarejea kucheza soka kwenye ardhi ya Tanzania. Azam…
Magazeti ya Leo Tarehe 25 March 2024 Post Views: 17
Young Africans itachuana na Mamelodi Sundowns Jumamosi (Machi 30) katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, utakaochezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es…
Simba watacheza na Al Ahly ikiwa ni mchezo wao wa kwanza wa Robo Fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika kabla ya kurudiana nao, Aprili 5, 2024 huko nchini Misri. “Hii…
Yanga imekubali kichapo kama ilichokipata dhidi ya Ihefu FC katika mzunguko wa kwanza ambapo ilifungwa mabao 2-1 Oktoba 4 na baadaye Azam FC pia wakaifunga 2-1 Machi 17. Akizungumza na…
. Ahmed amefunguka hayo leo Marchi 20, 2024 alipokuwa kwenye uzunduzi wa hamasa za kuelekea mchezo wao dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Marchi 29, 2024 katika Uwanja wa Benjamini Mkapa…
Ofisa Habari wa TFF, Cliford Ndimbo, amesema wamepokea barua kutoka kwa klabu hizo mbili na kuridhia maombi yao ya kutaka wachezaji wao kurejea kwenye vikosi vyao mapema kabla ya Machi…
Akizungumza na Mwanaspoti, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa timu hiyo, Thabit Zakaria ‘Zaka Zakazi’ amesema kiungo Sospeter Bajana, beki Malickou Ndoye na mshambuliaji Franklin Navarro wamerejea nchi na wanaendelea…