Beki Mganda afichua siri za Aucho
Aucho alikuwa nje ya uwanja kwa majeraha tangu alipoumia kwenye mechi ya mwisho hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly na kufanyiwa upasuaji mdogo wa…
Sports News From Tanzania
Aucho alikuwa nje ya uwanja kwa majeraha tangu alipoumia kwenye mechi ya mwisho hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly na kufanyiwa upasuaji mdogo wa…
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Koller amesema mara zote wanapokutana na Simba huwa wanawapa mchezo mgumu. “Tumejiandaa kila tuwezalo. Sisi ni mabingwa watetezi…
1: Wakiwa hawana mpira (Al Ahly) wanaweza kuzima ufanisi wa viungo wa Simba, hasa wakiwa na two 8s wa Simba (kutrack vizuri space iliyopo kati ya CBs na CMs) ni…
Soccer News of Thursday, 28 March 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.liveKocha Al Ahly aahidi kuimaliza mechi Kwa Mkapa« NyumaMbele »Comments (0)Listen to Article WhatsApp Facebook “Tumejiandaa vyema kuonesha kiwango bora kesho na…
Benchikha Mkuu wa msafara wa Al Ahly, Hossam Ghally amesema kizuizi kikubwa kwao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Simba SC ni uwepo wa kocha Abdelhak…
Mayele kurejea Yanga? Meneja wa Mshambuliaji kutoka DR Congo na Klabu ya Pyramids ya Misri, Fiston Kalala Mayele aliyemleta Tanzania Nestor Mutuale, amesema kuwa mchezaji huyo bado anaiheshimu Yanga SC…
Kuelekea mchezo wao robo fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns, jana Klabu ya Yanga ilizindua hamasa zake katika Makao Makuu ya Klabu hiyo, Jangwani,…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, raia wa Burkina Faso, Stephen Aziz Ki amefikia makubaliano mazuri na Uongozi wa timu hiyo, ya kuendelea kubakia kuvaa jezi zenye rangi ya kijani, njano katika…
Manchester United wanamlenga kiungo wa Wolves Joao Gomes, 23, kuwa mbadala wa Mbrazil mwenzake Casemiro, 32. Arsenal, Liverpool, Manchester City na Manchester United wote wanamtaka mshambuliaji wa Real Madrid, Rodrygo,…
Mabosi wa Yanga tangu walipofahamu timu hiyo itavaana na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika hawalali. Wamekuwa wakipambana kunasa kila taarifa…