Hassan Dalali: Niliuza friji langu kulipa Mishahara ya Wachezaji Simba
Mwenyekiti mstaafu wa Simba Hassan Dalali, ametukumbusha mkasa wake wa kuuza friji ili tu aweze kuwalipa mishahara wachezaji wa Simba wakati akiwa kiongozi wa timu hiyo. Amesema kipindi cha nyuma…