Ali Kamwe Atoboa Siri ‘Ally Ahmed Msemaji wa Simba ni Mwananchi’

Published from Blogger Prime Android App
π€π‹πˆ πŠπ€πŒπ–π„ π€π“πŽππŽπ€ π’πˆπ‘πˆ ππ™πˆπ“πŽ
Hee Kumbe Ahmed Ally ni Mwananchi 😳, Na huko Simba wanataka kumtimua kisa anawaambia ukweli uongozi mambo ya klabu ?
Ali Kamwe amefunguka haya:
‘Sikumtama achague njaa, tulikubaliana twende kwenye timu ya neema yeye akachagua shida, ni mwananchi sio mpaka tuseme, huko choko choko zimeanza kwa Ahmed Ally kusema ukweli kwa viongozi ,njoo yanga nafasi  bado ipo”
π™Žπ˜Ό π™„π™π˜Όπ™†π™π™’π˜Όπ™…π™€ πŸ€” ?
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *