
πππ πππππ ππππππ ππππ πππππ
Hee Kumbe Ahmed Ally ni Mwananchi π³, Na huko Simba wanataka kumtimua kisa anawaambia ukweli uongozi mambo ya klabu ?
Ali Kamwe amefunguka haya:
‘Sikumtama achague njaa, tulikubaliana twende kwenye timu ya neema yeye akachagua shida, ni mwananchi sio mpaka tuseme, huko choko choko zimeanza kwa Ahmed Ally kusema ukweli kwa viongozi ,njoo yanga nafasi bado ipo”
ππΌ πππΌππππΌπ
π π€ ?