Alex Ngereza: Hii Kesi Simba Wakiamua Basi Yanga hachomoki

 

Alex Ngereza: Hii kesi Simba wakiamua basi Yanga hachomoki

Wakti kukiwa na sintofahamu juu ya Nembo ya Simba kutumika katika bango lililowekwa na Yanga kusherehesha ushindi wao wa bao 5-1 walioupata dhdi ya Simba Novemba 5 katika Uwanja wa Mkapa.

Kuna wanaoitaka Klabu ya Simba kwenda Mahakamani kwa vile nembo ya Klabu imetumika Kibiashara na mtu mwingine pasipo idhini yao.

Alex Ngereza anasema;

“Yanga hawachomoki hapa kama Simba wakiamua kwa kawaida huwezi kutumia logo ya timu nyingine yenye wadhamini wake kutangaza wadhamini wako”

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *