Alex Ngereza Afunguka: Kama Tukishindwa Kufuzu AFCON, Lawama Zinaweza Kwenda Kwa Bench la Ufundi

Taifa Stars Leo

Alex Ngereza Afunguka:
Kama tukishindwa kufuzu AFCON,lawama zinaweza kwenda kwa bench la ufundi kwasababu kwenye michezo minne ya kwanza stars iliacha wachezaji muhimu ambao kama wangeitwa tangu mwanzoni ingetusaidia kushinda mchezo dhidi ya Ethiopia hapa nyumbani na hata michezo miwili dhidi ya Congo tusingepoteza yote
Kwenye michezo michezo mitatu tulikosa wachezaji wetu bora kama Shomari Kapombe,Mbwana Samatta,Simon Msuva na Aishi Manula.
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *