Al Ahly Yatupwa Nje ya Mashindano CAF, Mamelodi Sundowns Watinga Fainali

Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly wametupwa nje ya michuano kwa bao la ugenini kufuatia sare ya jumla ya 1-1 dhidi ya Mamelodi Sundowns kwenye nusu fainali.
Sundowns wametangulia fainali ya CAFCL kumsuburi mmoja kati ya Pyramids Fc dhidi ya Orlando Pirates.
FT: Al Ahly 🇪🇬 1-1 🇿🇦 Mamelodi Sundowns (Agg. 1-1)
⚽ 24’ Taher
⚽ 90’ Yasser (og)
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *