Aishi Manula Ndio Kipa Aliyeruhusu Magoli Mengi

Nyota wa Simba, Aishi Manula ndiye kipa wa mwisho wa timu hiyo kufungwa mabao mengi zaidi ya Ligi Kuu katika mechi ya ‘Kariakoo Derby’, dhidi ya watani zao Yanga wakati kikosi hicho cha Msimbazi kilipochapwa mabao 5-1, Novemba 5, 2023.
.
Katika mechi hiyo, mabao ya Yanga yalifungwa na Kennedy Musonda, Stephane Aziz KI na Pacome Zouzoua waliofunga moja kila mmoja wao, huku Maxi Mpia Nzengeli akitupia mawili, wakati lile la kufutia machozi kwa Simba lilifungwa na Kibu Denis.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *