Ahmedy Ally Awaita Yanga Maiti Baada ya Kufungwa Algeria

Ahmedy Ally Awaita Yanga Maiti Baada ya Kufungwa Algeria

 “Sisi hatufanani na wao na timu yetu ni bora kuliko timu yeyote kwa sasa na haiwezi kufanana na timu yeyote kwa ukanda huu wa Afrika mashariki”.

.

“Sisi tumefungwa Algeria na wo wamefungwa Algeria wasiseme kama tunafanana na kama wote tupo mochwari sisi ni wahudumu na wao ni maiti”.

.

Anasema; Ahmed Ally meneja habari.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *