“Nimelia sana leo tangu asubuhi baada ya kusikiliza mahojiano ya Feisal.
“Kijana ameteseka mno, amenyanyaswa sana na amedhalilishwa kuanzia yeye mpaka familia yake
Imeniumiza sana nimeshindwa hata kunywa Chai”
-Afisa habari wa Simba Sc Ahmed Ally
Habari za Michezo Kutoka Tanzania na Soka la nje