Mwamuzi Hance Mabena Afungiwa Kuchezesha Miezi Mitatu

 

Mwamuzi Hance Mabena Afungiwa Kuchezesha Miezi Mitatu

Mwamuzi Hance Mabena amefungiwa miezi mitatu kuchezesha ligi kuu ya NBC baada ya kutoa penati kwa TZ Prisons ambayo haikuwa Sahihi.

TZ Prisons walicheza dhidi ya Fountain Gate na walifaidika na maamuzi ya mkwaju wa penati kwa kushinda mabao 3-2 dhidi ya Fountain Gate FC, pale Sokoine Mbeya.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *