Kocha wa Yanga Atwaa Tuzo ya Kocha Bora Mwezi January
Kocha wa klabu ya Yanga Pedro Goncalves ametwaa tuzo ya kocha bora katika mwezi Januari baada ya timu yake kupata ushindi wa mechi 2 katika mwezi huo.
Pedro ametwa tuzo hiyo baada ya kuitoa klabu yake kutoka nafasi ya pili hadi juu ya msimamo kwa kuwafunga Dodoma 3-1 pamoja na Mashujaa 6-0.
Aidha pedro amewashinda Juma Mgunda kocha wa Namungo pamoja na Yusuph Chipo wa Mtibwa Sugar aliyoingia nao fainali katika Tuzo hizo.
