MARA YA MWISHO YANGA KUPOTEZA MECHI NI DHIDI YA TABORA UNITED

“Ndani ya huu mwaka wa 2025 Yanga wamecheza jumla ya mechi (21) za NBC,ndani ya hizo mechi wameshinda (19) na sare (2) dhidi ya JKT na Mbeya City”
“Mara ya mwisho Yanga kupoteza mechi ya ligi kuu ni 7/11/2024 dhidi ya Tabora (TRA) so Yanga wamecheza mechi 26 mfululizo za NBC bila kupoteza”
