Fiston Mayele “Upande Wetu Congo Tulikuwa Tunamuhofia Simon Msuva”

Simon Msuva

 “Nataka niwaambie watanzania, kuna vitu wanapaswa kufanya, mfano Msuva kwa upande wetu tulikuwa tunamhofia, hata kocha wetu aliulizia sana kama ameitwa, kama angekuwepo wangesaidiana na Samatta ingekuwa vizuri sana, tulipata faida kwasababuhttps://www.sokatanzania.com hakuwepo,’’

— FISTON MAYELE

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *