Hicho Hapa Kikosi Kipya Cha Taifa Stars Kilichoitwa na Kocha Gamondi, Kelvin John Ndani

Miguel Gamondi ambaye ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa Taifa Stars amemrejesha mshambuliaji Kelvin John (Mbappe) kwenye kikosi cha Tanzania ‘Taifa Stars’ ambacho kitacheza mechi ya Kirafiki dhidi ya Kuwait Novemba 14, 2025 nchini Egypt.

KIKOSI CHA TAIFA STARS.

  • YAKOUB SULEIMAN (SIMBA SC)
  • HUSSEIN MASALANGA (SINGIDA BS)
  • ZUBERI FOBA (AZAM FC)
  • BAKARI MWAMNYETO (YOUNG AFRICANS)
  • SHOMARI KAPOMBE (SIMBA SC)
  • MOHAMED HUSSEIN (YOUNG AFRICANS)
  • ALPHONCE MABULA (SHAMAKHI, AZERBAIJAN)
  • MUDATHIR YAHYA (YOUNG AFRICANS)
  • WILSON NANGU (SIMBA SC)
  • NOVATUS DISMAS (GÖZTEPE FC, UTURUKI)
  • PASCAL MSINDO (AZAM FC)
  • IBRAHIM ABDULLA (YOUNG AFRICANS)
  • HAJI MNOGA (SALFORD CITY, UINGEREZA)
  • DICKSON JOB (YOUNG AFRICANS)
  • HABIBU IDD (SINGIDA BS)
  • TARRYN ALLARAKHIA (ROCHDALE AFC, UINGEREZA)
  • CHARLES M’MOMBWA (FLORIANA FC, MALTA)
  • SULEIMAN MWALIMU (SIMBA SC)
  • FEISAL SALUM (AZAM FC)
  • MORICE ABRAHAM (SIMBA SC)
  • ABDUL SULEIMAN (AZAM FC)
  • PAUL PETER (JKT TANZANIA)
  • KELVIN JOHN (AALBORG BK, DENMARK)
    .

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *