Nyota Man United Kukaa nje kwa Tatizo la moyo

 

Nyota Man United Kukaa nje kwa Tatizo la moyo

Nyota wa klabu ya Manchester United Noussair Mazraoui anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili kutokana na tatizo la moyo [Cardiac Arrhythmia diagnosis].

Tatizo hili linatokea pale ambapo Moyo unakuwa unadunda haraka, taratibu au tofauti na vile huwa unadunda kawaida, inaelezwa kuwa tatizo hilo haiwezekani kulizuia kukua.

Matatizo ya moyo yamekuwa yakiwaandama sana wanamichezo kwa siku za hivi karibuni akiwemo Christian Eriksen, Sergio Aguero na Juan Izquierdo aliyefariki uwanjani kwa tatizo hili.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *