Tue. Nov 4th, 2025

Kila kitu kina bei yake,ukitaka vitu vizuri lazima umwage hela na ufanye scouting ya maana.

Azam walipohitaji kutinga kwenye makundi walimwaga hela na kumpata kocha ambae ni mshindi halisi (Ibenge) na leo imelipa.

Ibenge ni mkubwa kuliko wacheza wengi wa Azam,kuanzia jina mpaka mafanikio hivyo anaweza kusema chochote na wachezaji wakatekeleza.

Azam walihitaji kocha wa namna hii kwa muda mrefu….na leo ndoto imetimia.

Hongera sana Azam kwa hatua hii🔥