Tue. Nov 4th, 2025

HISTORIA imeandikwa, Azam FC imefuzu hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kwa mara ya kwanza tangu klabu hiyo kuanzishwa miaka 21 iliyopita kufuatia ushindi wa jumla wa 9-0 dhidi ya KMKM Fc kwenye hatua ya pili ya CAFCC. Azam Fc ilishinda 2-0 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza kabla ya kushinda 7-0 kwenye marudiano katika dimba la Azam Complex, Chamazi na kuandika historia hiyo. FT Azam FC 🇹🇿 7-0 🇹🇿 KMKM FC (Agg. 9-0) ⚽️ 23′ Idd Nado ⚽️ 27′ Kitambala ⚽️ 30′ Kitambala ⚽️ 43′ Idd Nado ⚽️ 49′ Msindo ⚽️ 53′ Abdul Sopu ⚽️ 57′ Abdul Sopu

HISTORIA imeandikwa, Azam FC imefuzu hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kwa mara ya kwanza tangu klabu hiyo kuanzishwa miaka 21 iliyopita kufuatia ushindi wa jumla wa 9-0 dhidi ya KMKM Fc kwenye hatua ya pili ya CAFCC.

Azam Fc ilishinda 2-0 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza kabla ya kushinda 7-0 kwenye marudiano katika dimba la Azam Complex, Chamazi na kuandika historia hiyo.

FT Azam FC 🇹🇿 7-0 🇹🇿 KMKM FC (Agg. 9-0)
⚽️ 23′ Idd Nado
⚽️ 27′ Kitambala
⚽️ 30′ Kitambala
⚽️ 43′ Idd Nado
⚽️ 49′ Msindo
⚽️ 53′ Abdul Sopu
⚽️ 57′ Abdul Sopu