Viwango Vipya vya FIFA Barani Afrika

Viwango vya FIFA

Shirikisho la mpira duniani FIFA imetoa viwango vya FIFA vya mwezi Oktoba 2024, huku Tembo wa Afrika Ivory Coast hawapo tena kwenye 5 Bora barani Afrika.

Afrika inaongozwa na Morocco, ambayo inashikilia nafasi ya kwanza ikifuatiwa na Simba wa Senegal wa Teranga, Mafarao wa Misri, na Super Eagles wa Nigeria.Tanzania ikiwa nafasi ya 27 kwenye orodha hiyo.

Viwango vya FIFA barani Afrika mwezi Oktoba 2024;

1. Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ (13)

2. Senegal ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ (20)

3. Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ (30)

4. Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ (36)

5. Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ (37)

6. Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ (40)

7. Tunisia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ (47)

8. Cameroon ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ (49)

9. Mali ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ (50)

10. DR Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ (57)

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *