TETESI; Inaelezea Kocha Gamondi Akalia Kuti Kavu Yanga

TETESI; Inaelezea Kocha Gamondi Akalia Kuti Kavu Yanga

Inaelezwa kuwa viongozi wa Yanga SC wakiongozwa na rais wa timu hiyo Eng. Hersi Said wanatarijwa kukaa kikao na kocha wa timu hiyo Miguel Gamondi kuhusiana na mwenendo wa timu hiyo.

Timu hiyo imepoteza michezo miwili mfululizo ya NBC Premier League dhidi ya Azam FC na dhidi Tabora United hii leo.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *