Yanga Wamtaka Lameck Lawi Kwa Udi na Uvumba…

Yanga Wamtaka Lameck Lawi Kwa Udi na Uvumba...

Ikiwa imesalia takribani mwezi mmoja kabla ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa Disemba 15 mwaka huu, Yanga SC imerusha ndoano kuwania saini ya beki wa kati wa Coastal Union, Lameck Lawi.
Uamuzi huo wa Yanga ambao inaelezwa uko kwenye hatua nzuri za awali, umekuja baada ya changamoto walizozipata kwenye safu ya ulinzi kutokana na upungufu wa mabeki wa kati walipocheza mechi ya ligi dhidi ya Tabora United, ambapo walilazimika kuwatumia viungo Khalid Aucho na Aziz Andabwile.
.
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *