ππππ π, π ππ¨ππ , π’ππ₯ππ πππͺπππ¨π§ππππͺπ ππ¨π¦ππππππͺπ π¬ππ‘ππ.
βJonas Mkude, Clatous Chama na Augustine Okrah kiufundi hawakutakiwa kusajiliwa Yanga. Nafikiri ni mambo ya siasa tu, lakini hakukuwa na sababu ya kuchukua wachezaji wale.
Ukitazama position ya Chama pale Yanga walishaenea. Wako kina Pacome, Aziz na Maxi. Hawa walitosha kabisa na hakukuwa na kitu kinachomiss. Yanga walipaswa kwenda juu zaidi ya wachezaji hawa.β