“Yule Dada Winga anasema kamtoa mbali sana Clement Mzize, kipindi anachomzungumzia kamtoa mbali alimkuta analipwa Milioni 2″ ila BimDada amesahau kuwa Watu wa Iringa walimtoa Mzize kama zawadi kwa mwenyekiti Mshindo Msola na @yangasc wakampa Kijana nafasi kule under 20 akaonekana” – @ibrakasuga

Aidha Kasuga ameendelea kusema kwamba, ” @yangasc wakamuamini wakampa nafasi kwenye Senior team, wakati wote huo Mdada hakuwepo, sasa anasemaje kamtoa mbali..!!”

“Na atuweke sawa mbali huko ni wapi 😀😂 kuliko kwa kocha Chitalula Iringa Dada apambane kwenye njia nyingine ila asitupange kuwa kamtoa mbali ni UONGO” @ibrakasuga amemaliza hivyo na kututakia asubuhi njema Visokorokwinyo

Ila Wingbacks hawaaaa…!!!