December 20, 2025

𝐃𝐄𝐀𝐋 πƒπŽππ„ Klabu ya Singida Black Stars imekamilisha usajili wa Clatous Chota Chama

𝐃𝐄𝐀𝐋 πƒπŽππ„ Klabu ya Singida Black Stars imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama kwa mkataba wa mwaka mmoja, wenye kipengele cha kuongeza mwaka mwingine endapo atafanya vizuri msimu wa 2025/2026.

Kama nilivyokuwa nimetoa taarifa hapo awali kuhusu uhamisho wake wa kujiunga na Singida na sasa umetimia kwa asilimia 100%.
.
Singida Black Stars have officially completed the signing of attacking midfielder Clatous Chota Chama on a one-year contract, with an option to extend for an additional year based on performance in the 2025/2026 season.

As I previously reported about his potential move to Singida, the transfer is now 100% confirmed