Wed. Nov 5th, 2025

Ikiwa taratibu za utambulishaji zitakamilika kama taarifa zinavyo thibitisha, Kutambulisha wa kipa Yakoub Suleiman katika kikosi cha Simba Sc niwazi kuwa kazini kwa Camara kutakuwa kumepata ujio wa ushindani

Ubora na kiwango binafsi kwa kila kipa ndio kitu kitakacho toa nafasi kwa kipa yeyote kuwa katika First eleven/ kikosi cha kwanza

Ikumbukwe kuwa Camara ndio kipa aliye jiahakikishia namba 1 kama mlinda mlango wa kwanza golini kwa sasa, lakini hivi sasa anahitaji kuonesha ushindani zaidi sababu anaye mpinzani wakushindana nae.