Kocha Julio Kiwelu Atoboa SIRI ya Mbwana Samatta Kuandika Barua ya Kujiuzulu Taifa Stars

Kocha Julio Kiwelu Atoboa SIRI ya Mbwana Samatta Kuandika Barua ya Kujiuzulu Taifa Stars

Kaimu Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Julio Kiwelu amesema Nahodha wa timu hiyo ambaye kwa sasa anaichezea Ligi Kuu ya Ugiriki, Mbwana Samatta aliandika barua ya kujiuzulu kuichezea Taifa Stars akieleza kuwa Watanzania wanamtukana sana.
Kiwelu amesema zilifanyika jitihada kubwa za kumshawishi ili arejee kwenye timu, na mwishowe alikubali kurudi.
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *