Saido Ntibazonkiza Kurejea Kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara

Transfer News: Saido Ntibazonkiza Kurejea Kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara

Transfer News

SIKU chache baada ya kutemwa na Simba, nyota wa kimataifa wa Burundi 🇧🇮 Saido Ntibazonkiza inaelezwa yupo mbioni kurejea kukipiga moja ya timu za Ligi Kuu Bara. Awali ilielezwa Saido alikuwa akihitajika Rwanda, lakini upepo umebadilikla baada ya Coastal Union na Namungo zikitajwa sambamba na Pamba, Ken Gold na Dodoma Jiji zilizompeleka ofa akiwa mapumzikoni.

Ungetamani kumuoana Saido akikipiga wapi msimu ujao ..!!🤔

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *