Kocha Simba : Tunahitaji Wachezaji Wapya Kama Mpanzu

Kocha Simba : Tunahitaji Wachezaji Wapya Kama Mpanzu

FADLU DAVID’S TUNAHITAJI WACHEZAJI WAPYA

“Hatutosajili kwa kuongeza idadi,Kama wanapatikana wachezaji Bora zaidi ya tulionao tutasajili ila wakikosekana tutaendelea(kuwapandisha ubora) na Hawa waliopo”

“Tunahitaji wachezaji wapya waje kuingia kikosi Cha kwanza Moja kwa moja mfano Mpanzu ambae anaonyesha utofauti Mkubwa na washambuliaji waliopo ana ubora mkubwa wa kucheza nafasi zote za ushambuliaji AM,RW,LW hata SS”

FADLU DAVIDS – Kocha Mkuu wa Simba Sc

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *