Kabudi Waziri Mpya wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo

Kabudi Waziri Mpya wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo

Hongera sana Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi kwa kuaminiwa na kuteuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Karibu kwenye Dunia yetu , karibu huku ambako tunatumia masaa 24 na siku saba za kila Juma kukimbiza Mwenge kama wadau wa maendeleo ya Taifa tuliochabgua kupambania kombe upande huu.

Binafsi nakutakia kila la kheri kwenye uongozi wako chini ya Wizara hii.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *