Mshahara Mpya wa Mchezaji Fei Toto Huku Azam ni Kufuru tupu

Inaelezwa kuwa Azam FC inajiandaa kumpa mkataba mpya kiungo wao Feisal Salum ‘Fei Toto’ utakaomfanya adumu kwenye timu hiyo hadi mwaka 2028.

Mkataba huo utamfanya nyota huyo awe analipwa mshahara wa USD 12,000 sawa na Tsh million 31 Kwa mwezi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *