Yanga Yaanza Kuwaacha Wachezaji Wasio Pata Namba First Eleven, Huyu Kwisha Habari yake

Yanga Yaanza Kuwaacha Wachezaji Wasio Pata Namba First Eleven, Huyu Kwisha Habari yake

Klabu ya Yanga SC imefanya mazungumzo na Kiungo Aziz Andabwile ili kufikia makubaliano ya kuachana nae katika dirisha dogo la uhamisho.

Kiungo Aziz Andabwile anatajwa kupisha usajili mpya wa Yanga SC katika maboresho ya klabu hiyo.

Aziz Andabwile aliwahi kucheza katika klabu ya Mbeya City FC kabla hajajiunga na Singida Big Stars.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *