RASMI: Mohamed Hussein “Tshabalala” Atangazwa Kujiunga Yanga

RASMI: Mohamed Hussein “Tshabalala” Atangazwa Kujiunga Yanga
Staa wa Taifa Stars Mohamed Hussein “Tshabalala” ametambulishwa rasmi na Club ya Yanga ikiwa ni wiki chache zimepita tangu Mkali huyu wa soka atangaze kuondoka Simba SC, Timu ambayo aliitumikia kwa miaka 11 mfululizo.