Wed. Nov 5th, 2025

Wachezaji wa kigeni ndani ya Yanga hadi sasa:

  1. Diarra
  2. Attohoula Yao
  3. Balla Conte
  4. Abuya
  5. Boka
  6. Lassine Kouma
  7. Maxi Nzengeli
  8. Pacome Zouzoua
  9. Prince Dube
  10. Andy Boyeli
  11. Ecua Celestin
  12. Mohamed Doumbia

Apungue nani aongezeke nani?