Yanga imemtangaza Romain Folz raia wa Ufaransa kuwa kocha wao Mkuu.
π Falsafa yake ya ufundishaji
π£οΈ “I don’t believe to say ‘that’s my way i wan’t to play’, if you set with idea/philosophy and you don’t want to adjust it’s wrong”
π£οΈ “The way we approach the game is a little bit flexible basically to adapt any kind of opponent”
- Kwa kutumia quotes hizo alizosema, ni bayana kuwa ni kocha ambaye anategemea zaidi Opponent Analysis
- Mbinu zake za ufundishaji (Mifumo/miundo, style ya uchezaji na Principles) zinabadilika kulingana hali kama;
- Aina ya wapinzani (Opponent Analysis)
- Hali ya timu yake kwa wakati husika (Strength & Weakness)
- Mazingira kama uwanja, hali ya hewa n.k
- Anaamini wachezaji wanaocheza sana ‘Show Games’ kama Skudu, Morisson hawapaswi kuzuia kufanya hivyo ila wapewe uhuru kama tu endapo skills zao haziathiri mahitaji ya timu kwa wakati huo
π CV yake kwa ufupi
- 2025 Alikuwa Mkurugenzi wa michezo wa Olympique Akbou ya Algeria π©πΏ
- 2024 Alikuwa kocha msaidizi wa Mamelodi Sundown ya South Africa πΏπ¦
- 2023 Alikuwa kocha mkuu wa Horoya ya Guinea π¬π³
- 2022 Alikuwa kocha mkuu wa Amazulu ya South Africa πΏπ¦
- 2021 Alikuwa kocha Mkuu wa Township Rollers ya Botswana π§πΌ
- 2019 Alikuwa kocha Msaidizi wa Pyramid ya Egypt πͺπ¬
- 2018 Alikuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Uganda πΊπ¬
- Huyu kocha ana UEFA Pro Licence na Pro Licence ya CONMEBOL (America).
Let’s Enjoy the game
