Wed. Nov 5th, 2025
Ellie Mpanzu Aigomea SIMBA Kuingia Kambini, Kisa Mkasa....
Ellie Mpanzu Aigomea SIMBA Kuingia Kambini, Kisa Mkasa....

JUST IN:

Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC Ellie Mpanzu Ameugomea Uongozi wa Simba Uliomtaka ajiunge na kambi ya Simba Hapo Kesho akishinikiza Klabu hiyo ilipe AJ Vanquer kiasi cha Shilingi Milioni 190 za Ada ya Usajili ambayo Simba wanadaiwa.

AJ Vainquer ni Wasimamizi na Wamiliki wa Mchezaji Ellie Mpanzu.

Taarifa za Kuaminika Kutoka kwenye vyanzo Rasmi vya Mchezaji huyo vinasema Mpanzu hatajiunga na kambi ya Simba Mpaka Pale Deni Hilo litakapolipwa.