Baada ya Mazembe Kufungwa na MC Alger Hesabu za Yanga Kutinga Robo Fainali zawa Ngumu

Baada ya Mazembe Kufungwa na MC Alger Hesabu za Yanga Kutinga Robo Fainali zawa Ngumu

TP Mazembe imeaga mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya MC Alger kwenye mchezo wa raundi ya tano wa Kundi A huku wakiendelea kusalia mkiani wa msimamo wa Kundi hilo pointi 2 baada ya mechi tano.

Kipigo cha Mazembe ambayo itakamilisha ratiba dhidi ya Al Hilal kinaiweka Yanga Sc ya Tanzania kwenye wakati mgumu zaidi wa kufuzu hatua ya robo fainali ambapo watatakiwa kushinda mechi zote mbili zilizosalia ili kufuzu tena kwa kuifunga MC Alger zaidi ya magoli matatu kwenye mchezo wa mwisho.

FT: Mc Alger πŸ‡©πŸ‡Ώ 1-0 πŸ‡¨πŸ‡© TP Mazembe

⚽ 36’ Akram Bouras (P)

MSIMAMO KUNDI A

1. πŸ‡ΈπŸ‡© Al Hilal β€” mechi 4 β€” pointi 10

2. πŸ‡©πŸ‡Ώ MC Alger β€” mechi 5 β€” pointi 8

3. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Yanga Sc β€” mechi 4 β€” pointi 4

4. πŸ‡¨πŸ‡© TP Mazembe β€” mechi 5 β€” pointi 2

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *